Monday 5 December 2016

Algeria yarudisha makwao Wahamiaji wa Afrika magharibi


WANAHARAKATI  ZA  HAKI  ZA  BINADAAM  WANASEMA  MAMLAKA  NCHINI  ALGERIA  ZIMEANZA  KUTEKELEZA  MIPANGO  YA  KUWAONDOA  MAELFU  YA  WAHAMIAJI  KUTOKA  AFRIKA  MAGHARIBI,

WANASEMA  POLISI  WA  KUZUIA  GHASIA  WAMEWAKAMATA  WANAWAKE, WANAUME  NA  WATOTO  KATIKA  SIKU  ZA  HIVI  KARIBUNI  NA  KUWASHIKILIA  KATIKA  KAMBI ILIYOKO  KARIBU NA  MJI  WA  NCHI  HIYO  ALGIERS , KWENYE  PWANI  YA  MEDITERRANEAN,

HABARI  ZINASEMA MABASI  11  YAMEANZA  SAFARI  YAKIWA  NA  MAMIA  YA  WAHAMIAJI  HAO KUELEKEA MJI  WA  KUSINI  WA  TAMANRASSET  UKINGONI  MWA  JANGWA  LA  SAHARA

SERIKALI  YA  ALGERIA  HAIJASEMA  CHOCHOTE  KUHUSU  NINI  KINACHOFUATA  KUHUSU  WAHAMIAJI HAO,   LAKINI  PIA  KWA  MUJIBU  WA  MWANDISHI  WA  BBC  KATIKA  ENEO  HILO , INAONEKANA   KAMA   WATARUDISHWA  KATIKA  NCHI   WALIZO  TOKA  DECEMBER  MWAKA  HUU      SERIKALI   YA  NCHI  HIYO  ILITANGAZA  MIPANGO  YA  KUWAONDOA  WAHAMIAJI  HAO  KUTOKA  AFRIKA  MAGHARIBI, AMBAO  NI WENGI  KATIKA  NCHI  HIYO.

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews