Saturday 3 December 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,amefanya uteuzi wa Mabalozi 15


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 03 Desemba, 2016 amefanya uteuzi wa Mabalozi 15 ili kujaza nafasi zilizo wazi katika Balozi za Tanzania zilizopo katika nchi mbalimbali.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Mabalozi hao wameteuliwa kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika vituo vifuatavyo; you can click here
  1. Beijing             -           China
  2. Paris                -           Ufaransa
  3. Brussels           -           Makao Makuu ya Jumuiya ya Nchi za Ulaya
  4. Muscat             -           Oman
  5. Rome              -           Italy
  6. New Delhi       -           India
  7. Pretoria            -           Afrika ya Kusini
  8. Nairobi            -           Kenya
  9. Brasilia            -           Brazil
  10. Maputo            -           Msumbiji
  11. Kinshasa          -           Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
  12. Kampala          -           Uganda
  13. Abuja               -           Nigeria
  14. Moroni            -           Comoro
  15. Geneva            -           Umoja wa Mataifa
Aidha, Mhe. Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Mabalozi 6 kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika Balozi mpya 6 ambazo zitafunguliwa hivi karibuni katika nchi za Algeria, Israel, Korea ya Kusini, Sudan, Qatar na Uturuki.
Orodha kamili ya Mabalozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo; click here to continue reading http://ikulu.go.tz/index.php/media/press_details/3426

No comments:

Post a Comment

Total Pageviews