Wanafunzi 238 kati ya 6234 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu, wamekosa nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2017 kufuatia uhaba wa vyumba vya madarasa unaoikabili halmashauri hiyo.
Mkoa wa KATAVI umeshika nafasi ya Tatu Kitaifa kwa kufaulisha wanafunzi wa darasa la Saba kwa mwaka huu.
Kaimu katibu tawala Mkoa AWARIYWA NNKO amesema jumla ya wanafuzni 5970 wamechuguliwa
Kwa upande wake afisa elimu mkoa wa katavi ERNEST HINJU amesema mafanikio hayo yanapaswa kuigwa na mikoa mingine.

No comments:
Post a Comment